Dk Biteko: Kukosekana kwa fedha ndiyo sababu mipango mingi kutokamilika
Dar es Salaam. Kukosekana kwa fedha kumetajwa kuwa moja ya sababu ya mipango mikakati mingi inayoanzishwa katika ngazi ya kitaifa na kidunia kushindwa kutekelezeka kikamilifu. Hiyo ni kutokana na baadhi ya fedha kusubiriwa kutoka mataifa mengine jambo ambalo huweka ugumu katika ufikiaji wa malengo kwa asilimia 100. Hayo yamesemwa leo na Naibu waziri Mkuu na…