
Nondo atelekezwa Magomeni akiwa mahututi
MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, amepatikana usiku huu baada ya kutupwa karibu na makao makuu ya chama hicho, Magomeni, Dar es salaam, akiwa na majeraha na mahututi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea). Ado Shaibu, katibu mkuu wa chama hicho, amethibitisha kupatikana kwa kiongozi huyo na kuongeza,…