
Benki ya Letshego Faidika yakopesha Sh5.3 bilioni wateja wa mkoa wa Mbeya, yafungua tawi jipya
Na Mwandishi wetu Mbeya. Benki ya Letshego Faidika imetumia jumla ya Sh 5,348,067,950.91 kukopesha wateja 1,305 wa mkoa wa Mbeya. Hayo yamesemwa na mjumbe wa Bodi ya Benki ya Letshego Faidika, Bw Adam Mayingu wakati wa ufunguzi wa taji jipya la benki hiyo maeneo ya Soweto mkoani Mbeya. Awali tawi hilo lilikuwepo kwenye Jengo…