
Sababu bei ya nyama kupaa, Dar yaongoza
Dar es Salaam. Kupungua mifugo inayopelekwa sokoni, madai ya kuwapo wanunuzi kutoka nje ya nchi katika minada ya awali na ongezeko la mahitaji ya nyama ni miongoni mwa sababu ya zinazotajwa kupaisha bei ya nyama katika maeneo mbalimbali nchini, Dar es Salaam ikiongoza. Sababu hizo zimechochea kupanda kwa bei ya ng’ombe katika minada ya awali…