Jamii za Quilombola Zinaishi Kwa Hofu Kwa Sababu Sheria Zinazostahili Kuwalinda Zinapuuzwa — Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Jumatano, Desemba 04, 2024 Inter Press Service Des 04 (IPS) – CIVICUS inajadili vitisho kwa usalama, haki na ardhi ya mababu wa jumuiya za quilombola nchini Brazili na Wellington Gabriel de Jesus dos Santos, kiongozi na mwanaharakati wa jumuiya ya Pitanga dos Palmares Quilombola katika jimbo la Bahia. Ilianzishwa na Waafrika waliokuwa watumwa…

Read More

ACT-Wazalendo: Mwili wa Nondo wabainika kuwa na sumu

Dar es Salaam. Chama cha ACT- Wazalendo kimedai madaktari wanaomhudumia  Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo katika Hospitali ya Aga Khan wamebaini mwili wa kijana huyo kuwa na kiwango kikubwa cha sumu. Hadi sasa kwa mujibu wa chama hicho, wataalamu hawajafahamu kama sumu hiyo imetokana na athari za kupigwa na kuteswa…

Read More

Iringa wachekelea huduma za madaktari bingwa 56

Iringa. Siku chache baada ya kuanza kwa kambi ya kanda yakKati ya madaktari bingwa 56 wanaojulikana kama ‘madaktari wa Samia’ katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa, wananchi waliopata huduma wameelezea furaha yao. Kambi hiyo iliyoanza juzi, itadumu kwa siku tano. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano, Desemba 4, 2024, baadhi ya wagonjwa wamesema…

Read More

TGNP YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA MAAFISA MAENDELEO

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) imetoa mafunzo ya uchambuzi wa masuala ya kinjisia na bajeti yenye mrengo wa kijinsia kwa Watendaji na Maafisa maendeleo ya jamii yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Lengo la mafunzo hayo ni kuongeza uelewa juu ya umuhimu wa upangaji wa bajeti, mipango na sera zinazozingatia jinsia, miongoni mwa watoa maamuzi pamoja…

Read More

Uchaguzi serikali za mitaa: Warioba atoa angalizo tena

Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa maoni kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliopita, akibainisha kasoro zilizojitokeza na kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua hatua. Jaji Warioba aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania ametaka Chama cha Mapinduzi (CCM) na vyama vya upinzani kuweka masilahi yao…

Read More

Jinsi Programu Iliyobadilisha Kilimo kwa Wanawake wa Kitanzania Vijijini – Masuala ya Ulimwengu

Wanawake katika kijiji cha Kilema wakivuna viazi vitamu vya machungwa. Credit: Kizito Makoye/IPS by Kizito Makoye (kilimanjaro, tanzania) Jumatano, Desemba 04, 2024 Inter Press Service KILIMANJARO, Tanzania, Des 04 (IPS) – Katika udongo uliochomwa na jua wa Moshi, ambapo kila tone la mvua huchangia, wakulima wawili wa kike wamekaidi tabia hiyo kupitia teknolojia. Mwajuma Rashid…

Read More