$1.4 bilioni zinahitajika kwa ajili ya huduma za afya ya ngono na uzazi katika nchi zilizokumbwa na matatizo – Masuala ya Ulimwenguni

Ufadhili huo utatumika kutoa huduma za afya ya uzazi zinazookoa maisha na programu muhimu za kuzuia unyanyasaji wa kijinsia kwa zaidi ya watu milioni 45. Rufaa hiyo inakuja kwani inakadiriwa kuwa wanawake wajawazito milioni 11 watahitaji usaidizi wa haraka mnamo 2025. Rekodi uhamisho na uharibifu UNFPA alikumbuka kuwa machafuko ya kimataifa yaliondoa rekodi ya watu…

Read More

Afrika yatakiwa kuwekeza kwenye ubora wa rasilimali watu

Dar es Salaam. Wakati nchi za Afrika zikijivunia kuwa na wingi wa rasilimali ikiwemo ardhi, gesi, mafuta na madini, imeelezwa kuwa endapo hautafanyika uwekezaji wa rasilimali watu katika kuziendeleza rasilimali hizo hazitakuwa baraka kama ambavyo tayari imeanza kuonekana katika mataifa mbalimbali ya bara hilo. Kukabiliana na hilo nchi za Afrika, Tanzania ikiwemo zimetakiwa kuwekeza katika…

Read More

Nondo azungumzia afya yake akiwa wodini

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema licha ya afya yake kuendelea kuimarika, lakini bado anasikia maumivu sehemu za uti wa mgongo na mabegani. Maeneo mengine anayosikia maumivu ni mkono, magoti na miguu inayomuuma kwa nyakati tofauti kutokana na kipigo alichokipata kutoka kwa watu wanaodaiwa kumteka saa 10…

Read More

Mtanzania atunukiwa udaktari wa heshima Uingereza

Dar es Salaam. Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye jamii kupitia tuzo za Chaguo la Mtumiaji Afrika. Diana ambaye ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo hizo maarufu Consumer Choice Awards, ametunukiwa udaktari wa heshima katika biashara na ujasiriamali…

Read More

NHIF yalegeza masharti Toto Afya

Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeondoa ulazima kwa shule na vyuo kusajili wanafunzi 100 katika mchakato wa kupatiwa bima ya afya, badala yake wanafunzi  watalazimika kuchangia Sh50,400 kuanzia Januari, 2025. Hatua hiyo imetangazwa ikiwa ni mwaka mmoja na miezi tisa tangu Machi 13, 2023 NHIF ilipotangaza kuwa watoto ambao awali walikuwa…

Read More

Waliosota gerezani siku 399 waachiwa huru, wamo askari watatu

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watu watano wakiwemo waliokuwa askari Polisi, waliyokuwa wanakabiliwa na shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha na kujipatia Sh90 milioni, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao. Uamuzi huo umetolewa jana Jumatano, Desemba 4, 2024 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Franco…

Read More

Tukio la Wakili Lusako ‘kunusurika kutekwa’ laibua mjadala, Polisi yafafanua

Dar es Salaam. Jeshi Polisi nchini, linafanya uchunguzi wa kubaini kilichomfanya Wakili Alphonce Lusako, kukimbia na kujirekodi sauti aliyoituma kwenye mitandao ya kijamii, wakati askari waliokwenda ofisini kwake kumkamata Emmanuel Mweta. Leo Alhamisi Desemba 5, 2024 asubuhi Lusako akiwa ofisini kwake Makumbusho wilayani Kinondoni alijirekodi sauti ‘voice note’ akisema “Jamani natekwa kuna watu wamekuja ofisini…

Read More