Zaidi ya 280,000 waliondolewa katika ongezeko la kaskazini-magharibi – Masuala ya Ulimwenguni

Misaada imeendelea kutiririka kutoka Türkiye kuvuka vivuko vitatu hadi kaskazini-magharibi inayokabiliwa na Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa.WFP) ilisema kuwa imefungua jikoni za jumuiya huko Aleppo na Hama – miji ambayo sasa inaripotiwa kukaliwa na wapiganaji wa HTS. Katika nchi jirani ya Lebanon, afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia misaada Edem…

Read More

Kesi ya jaribio la kumteka Tarimo kuanza kuunguruma Desemba 19

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni iliyoko Kinondoni imepanga kuanza kusikiliza kesi ya jaribio la utekaji wa mfanyabiashara Deogratius Tarimo kuanzia Desemba 19, 2024. Mahakama hiyo imepanga tarehe hiyo kuanza kusikiliza kesi hiyo baada ya upande wa mashtaka kuieleza kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika. Washtakiwa katika kesi hiyo wamepandishwa kizimbani mahakamani hapo…

Read More

Gharama kubwa za masomo chanzo upungufu wa marubani

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi, amesema Tanzania inakabiliwa na uhaba wa marubani zaidi ya 150, licha ya juhudi zinazoendelea za kuongeza idadi yao nchini. Amesema changamoto kubwa iliyopo ni gharama kubwa ya mafunzo, ambapo kumwandaa rubani mmoja hadi kufikia kiwango cha kuendesha ndege kunagharimu takriban…

Read More

Mradi wa HEET kumaliza uhaba wa miundombinu Must

Mbeya. Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kimesema mradi wa Mageuzi ya Elimu kwa Maendeleo ya Uchumi (HEET), utasaidia kumaliza changamoto ya miundombinu inayokikabili chuo hicho. Akizungumza leo Desemba 6 kwenye mahafali ya 12, Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Aloys Mvuma amesema hadi sasa kuna uchache wa miundombinu, lakini mradi wa HEET…

Read More

Watu 237 wapanda Mlima Kilimanjaro kusherehekea Uhuru

Moshi. Watu 237, wakiwemo mabalozi tisa wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani, wameanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika. Safari hiyo ya kupanda mlima inaongozwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) chini ya Kanali Deus Babuu na itachukua siku tano kupitia njia ya Marangu. Watu hao wanatarajiwa kufika kilele…

Read More

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YAIPONGEZA PUMA ENERGY TANZANIA KUZINDUA KITUO CHA MAFUTA NA HUDUMA ZA ZIADA

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Maji,Nishati na Madini katika Serikali ya Zanzibar Shaib Hassan Kaduara ameipongeza Puma Energy Tanzania kusogeza huduma ya nishati ya mafuta na huduma za ziada kwa wananchi wa Zanzibar baada ya kuzindua kituo cha kuuza mafuta Unguja visiwani Zanzibar. Puma Energy Tanzania imezindua kituo hicho ambacho ni cha kwanza katika visiwani…

Read More

Puma Energy yazindua kituo cha kwanza cha mafuta Z’bar

  PUMA Energy Tanzania imezindua kituo cha kwanza cha kuuza mafuta ya gari na huduma za ziada katika eneo la Fuoni visiwani Zanzibar kwa lengo la kusogeza huduma za nishati ya mafuta karibu na wananchi sambamba na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Zanzibar katika uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Akizungumza leo tarehe…

Read More