
Yanga yapigwa tena Caf CL
Yanga imepoteza mchezo wa pili mfululizo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-0 na wenyeji wao MC Alger ya Algeria. Ikicheza vizuri dakika 45 za kwanza na kuonyesha nidhamu kubwa, wawakilishi hao wa Tanzania kwenye mashindano hayo, ilipoteana kipindi cha pili na kuruhusu bao la kichwa dakika ya 64, lililofungwa na beki…