
Mapya mauaji ya mfamasia, mama afichua
Dar es Salaam. Kutokana na utata unaozunguka kifo cha aliyekuwa mfamasia wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke (TRRH), Magdalena Kaduma, mama yake mzazi ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za kupotea kwa binti yake. Magdalena alitoweka Desemba 3, 2024, nyumbani kwake Kibamba, jijini Dar es Salaam, mwili wake ulipatikana ukiwa umefukiwa pembezoni mwa nyumba aliyokuwa…