Kuashiria Umoja wa Mataifa – Masuala ya Ulimwenguni

Imenaswa katika Picha za UN Barabara ya Benderaunaweza kutazama insha kamili ya picha hapa. Mvua au uangaze Wakati hali ya hewa ni nzuri, ambayo inamaanisha kuwa juu ya hali ya kufungia, bendera huanza kupaa saa 8 asubuhi. Kwa mikono thabiti na azimio lisiloyumbayumba, maafisa wa usalama wa Umoja wa Mataifa wanafanya kazi ya kupeperusha bendera…

Read More

Mzigo wa mawaziri watano huu hapa

Dar es Salaam. Mzigo mzito wa majukumu ya kiserikali na ya kuwahudumia Watanzania unawasubiri mawaziri watano na wateule wengine wa Rais Samia Suluhu Hassan wanaoapishwa leo kuanza kazi rasmi, baada ya kuteuliwa juzi. Waziri mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ni miongoni mwa mawaziri wanaotajwa kukabiliwa na mizigo hiyo, hasa kutokana na…

Read More

Watoto 180 wanusurika kukeketwa Mara

Tarime. Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwaokoa watoto wa kike zaidi ya 180 waliokuwa wanatarajiwa kukeketwa katika msimu wa ukeketaji, unaoendelea katika wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara. Watoto hao wameokolewa na kupelekwa katika nyumba salama iliyopo katika kituo cha kupinga ukeketaji Masanga wilayani Tarime kuanzia Desemba 3, 2024 hadi sasa kufuatia operesheni maalum inayofanywa…

Read More

TFS yasherehekea miaka 63 ya uhuru kwa upandaji miti

Rukwa/Sengerema. Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), imetoa miche ya miti kwa taasisi za serikali kwa lengo la kupandwa ili kuboresha mazingira. Maadhimisho hayo yamefanyika leo Jumatatu, Desemba 9, 2024 katika maeneo tofauti nchini, huku mkoani Rukwa TFS ikitoa miche 1,000 kwa Shule ya Sekondari ya Wasichana Rukwa…

Read More