Maoni na Joseph Chamie (portland, Marekani) Jumanne, Desemba 10, 2024 Inter Press Service PORTLAND, Marekani, Desemba 10 (IPS) – Baada ya Shambulio linaloongozwa na Hamas
Day: December 10, 2024

Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewataka wajumbe wa kamati ya huduma ya mikopo ngazi ya kata kuhakikisha wanakuwa vinara wa ukusanyaji marejesho ya

Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 11,2024 About the author

Dar es Salaam. Katika pembe tulivu ya Jiji la Dar es Salaam, Almasi Rajabu Almasi, mwenye umri wa miaka 46 na mmoja wa wanafunzi wa

Shinyanga. Mkazi wa Mtaa Dome Kata ya Ndembezi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani humo, Leah George (40) anadaiwa kusombwa na maji alipokuwa akivuka mto

Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma amesema mashauri ya mirathi yanagusa uchumi mkubwa, akibainisha kuwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki

TANZANIA imeandika historia kubwa baada ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Arusha Science kushinda tuzo nne za heshima katika mashindano ya kimataifa ya Ufanisi

Dar es Salaam. Tanzania inahitaji viongozi waliobobea, wasimamizi na maofisa wa kuthibiti ubora wa shule ili kuhakikisha matumizi sahihi ya rasilimali chache zilizopo na utoaji

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi ameelekeza kuendelea kwa matumizi ya teknolojia mbalimbali katika ulinzi wa rasilimali ya wanyamapori.

Songea. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewaonya wamiliki wa migodi ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma wanaokiuka sheria na utaratibu