Uhaba wa maji uligonga miji ya Zimbabwe kama nchi inajitahidi kushinda athari za El Nio – Maswala ya Ulimwenguni

Ole wa maji uligonga miji ya Zimbabwe wakati nchi inapigania kuondokana na athari za ukame unaohusishwa na muundo wa hali ya hewa wa El Niño. Mikopo: Jeffrey Moyo/IPS na Jeffrey Moyo (Bulawayo, Zimbabwe) Jumatano, Desemba 11, 2024 Huduma ya waandishi wa habari Bulawayo, Zimbabwe, Desemba 11 (IPS) – “Baridi” La Niña hali inaweza kukuza katika…

Read More

Bodi ya TBS Yatembelea Mipaka ya Tunduma, Kasumulu Yaelekeza Mikakati ya Kuboresha Ufanisi

BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Othman Chande Othman imefanya ziara ya kutembelea ofisi za TBS zilizopo katika mipaka ya Tunduma na Kasumulu ili kujionea shughuli zinazofanyika. Dhumuni la Ziara hiyo ni kuona changamoto zilizopo na kuzitafutia mkakati na kuielekeza Menejimenti ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) kwa njia ya Mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA MIOT YA INDIA IKULU ZANZIBAR

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT  Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed…

Read More