
Francois Bayrou ndiye waziri mkuu mpya Ufaransa – DW – 13.12.2024
Rais Emmanuel Macron amemtangaza Francois Bayrou kuwa waziri mkuu mpya siku chache baada ya Michel Barnier kuondolewa katika nafasi hiyo na bunge kwa kura ya kutokuwa na imani naye wiki iliyopita Tangu awali mwanasiasa Francois Bayrou mwenye miaka 73 na kiongozi wa chama cha siasa za mrengo wa kati cha Democratic Movement ndiye aliyeonekana kuwa…