
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 15,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 15,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 15,2024 About the author
MSANII wa muziki kutoka nchini Rwanda, Bruce Melodie, ameachia singo yake mpya iitwayo “Niki Minaji” akiwa amemshirikisha msanii wa Afrika Kusini, Blaq Diamond. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ni kibao chenye mikong’osio ya Amapiano na Afropop ambapo wawili hao wamefanya vurugu za aina yake katika wimbo huo. Wimbo huo haumzungumzii moja…
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MSANII wa muziki kutoka nchini Rwanda, Bruce Melodie, ameachia singo yake mpya iitwayo “Niki Minaji” akiwa amemshirikisha msanii wa Afrika Kusini, Blaq Diamond. Ni kibao chenye mikong’osio ya Amapiano na Afropop ambapo wawili hao wamefanya vurugu za aina yake katika wimbo huo. Wimbo huo haumzungumzii moja kwa moja Nicki Minaj…
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MANYARA: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali imejidhatiti kurudisha hadhi ya Tanzanite kwa kufanya minada ndani na nje ya nchi ili kuyaongezea thamani na wafanyabiashara waweze kunufaika na kuongeza pato la taifa kwa ujumla. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Desemba 14, 2024 Mirerani mkoani Manyara wakati akizindua mnada wa…
Na Renatha Kipaka, Bukoba Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la Ijuka Omuka litakalofanyika mkoani Kagera ambapo litazinduliwa Desemba 18,2024. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa leo wakati akizungumza na waandishi wa habari. Amesema tamasha hilo litazinduliwa litaanza dua kwa…
MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ameshirikishwa na staa wa muziki kutoka nchini Ghana, KJ Spio katika kibao kiitwacho ‘Messi”. Anaripoti Joseph Shaluwa, Dar es Salaam … (endelea). Katika kolabo hiyo, mbali na Harmonize, KJ amemshirikisha mwanamuziki mwingine, mkali wa Dancehall kutoka Jamaica, Konshens ambao kwa pamoja wamenogesha singo hiyo. Ngoma hiyo ambayo…
Unguja. Wakati tukielekea kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025, matukio ya mauaji, kutekwa watu na ukatili wa kijinsia ni miongoni mwa mambo yatakayokumbukwa kwa namna ya pekee kisiwani hapa, miongoni mwa mengine. Kati ya matukio hayo yamo ya watu wanaodaiwa kutekwa na kukutwa wameuawa kikatili, miili kuokotwa barabarani ikiwa imeharibiwa na ugonvi wa wanandoa…
-Akabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya mamilioni ya fedha katika Jimbo la Chwaka MWAKILISHI wa Jimbo la Chwaka visiwani Zanzibar ambaye pia ni Katibu wa Halmashauri Kuu((NEC) Oganaizesheni Issa Gavu amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi imefanya maendeleo makubwa kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu. Sambamba na hayo…
Dar es Salaam. Kamati Kuu cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekutana leo katika kipindi ambacho kuna joto la uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya chama hicho, jambo ambalo linaonekana kuwagawa wanachama wake. Kikao hicho cha Kamati Kuu kimefanyika Desemba 14, 2024 jijini Dar es Salaam kikiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe. Ajenda kuu…
Na MWANDISHI WETU. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umetoa semina kwa waajiri wa sekta binafsi wanaohudumiwa na Ofisi ya NSSF Mkoa wa Ubungo, Dar es Salaam. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za NSSF Ubungo ikiwa na lengo la kuwakumbusha waajiri majukumu yao yakiwemo kusajili wafanyakazi wao na kuwasilisha michango…