
Fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024 Zamalizika kwa Mafanikio Jijini Arusha
Jumamosi tarehe 14 Desemba 2024, jijini Arusha, Benki ya CRDB ilihitimisha fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024, mashindano yaliyojumuisha michezo ya soka na netiboli, kwa timu zilizoundwa na wafanyakazi wa benki hiyo, yakiwa ni mashindano yenye mbwembwe na ushindani wa hali ya juu. Timu mbalimbali kutoka kanda tofauti za Tanzania zilishiriki katika fainali hizo…