Lookman  mchezaji bora Afrika 2024

Mshambuliaji wa Atalanta na timu ya taifa ya Nigeria, Ademola Lookmann leo, Desemba 16, 2024 ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika 2024 ya shirikisho la mpira wa miguu Afrika (Caf) katika hafla iliyofanyika Marrakech, Morocco. Lookman ambaye amekuwa na nyakati bora akiwa na klabu yake ya Atalanta inayoshiriki Ligi Kuu ya Italia ‘Serie…

Read More

Guede apewa thank you Singida Black Stars 

Maisha ya mshambuliaji Joseph Guede ndani ya klabu ya Singida Black Stars yamefikia baada ya kutupiwa virago. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga klabu yake imetangaza usiku huu kuwa imeachana naye baada ya kudumu kwa miezi mitano pekee. Guede hakuwa na miezi mitano mizuri ndani ya Singida baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa…

Read More

Serikali yaja na sharti jipya ‘plea bargaining’

Dar es Salaam. Serikali imeweka sharti jipya la mshtakiwa wa kesi ya jinai au uhujumu uchumi, kumaliza kesi kwa utaratibu wa majadiliano na makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),  ambapoo mshtakiwa atalazimika kusubiri mpaka upelelezi wa kesi ukamilike. Sharti hilo limetajwa na mwendesha mashtaka kwenye kesi dhidi ya Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya JATU PLC,…

Read More

Ushauri kwa wizara upelekaji fedha kwa halmashauri

Dodoma. Wizara za kisekta zimeshauriwa kuhakikisha zinapeleka fedha kutekeleza vipaumbele vyao kwenye halmashauri kuwezesha miradi kutekelezwa bila vikwazo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), Leo Mavika amesema hayo leo Jumatatu, Desemba 16, 2024 alipotoa mada kwenye mkutano wa wadau wa serikali za mitaa ulioandaliwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa…

Read More

VIDEO: Lissu adai kuwasilisha majina ya waliopenyezewa fedha za uchaguzi Chadema

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema ameshapeleka ushahidi kuhusu madai ya rushwa ndani ya chama hicho kwenye vikao halali, hivyo anatarajia utekelezaji. Lissu aliyetangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho Desemba 12, 2024 jijini Dar es Salaam, amesema mambo aliyoyataja kama changamoto atakazozishughulikia ndio ajenda zake za uchaguzi. Kauli ya Lissu imekuja…

Read More

Ahadi ya Serikali kurahisisha utaratibu biashara changa

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Madini, Dk Doto Biteko ametoa maagizo matatu kwa wizara yanayolenga kutatua changamoto zinazolalamikiwa na wabunifu wa biashara changa na bunifu (startup), ikiwemo kukosekana mitaji. Maagizo hayo yanalenga kutengeneza mazingira rafiki na kurahisisha ufanyaji wa biashara kusaidia ukuaji wa uchumi na kuzalisha ajira kwa vijana. Maagizo hayo…

Read More

Serikali Yaweka Mkazo Katika Kujenga Uwezo wa Viongozi wa Mitaa kwa Ufanisi wa Miradi ya Maendeleo

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Imeelezwa kuwa na viongozi wa serikali za mitaa wenye ufanisi mkubwa na uadilifu mkubwa katika utendaji wa kutumia rasilimali zilizopo kuongoza jamii itasaidia nchi kuwa na ufanisi mkubwa sana katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe, Festo Dugange wakati alipomuwakilisha Waziri…

Read More

Utata mwili wa Ulomi ukipatikana Mwananyamala

Dar es Salaam. Siku tano tangu mfanyabiashara Daisle Ulomi alipopotea Desemba 11, 2024,  mwili wake umekutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, jijini Dar es Salaam leo Desemba 16. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo ya Sinza Kijiweni na Mwenge, jijini Dar es Salaam, alipotea katika mazingira yenye utata….

Read More