Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Day: December 17, 2024

  • Home
  • 2024
  • December
  • 17
Kimataifa

Baba yangu alikamatwa kiholela na kuhukumiwa kwa kukemea ufisadi wa serikali – Masuala ya Ulimwenguni.

December 17, 2024 Admin

na CIVICUS Jumanne, Desemba 17, 2024 Inter Press Service Des 17 (IPS) – CIVICUS inazungumza na Ramón Zamora, mtoto wa mwandishi wa habari wa Guatemala

Read More
Habari

Simbachawene ataka walioghushi barua za uhamisho kuchukuliwa hatua

December 17, 2024 Admin

Dodoma. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, George Simbachawene amezitaka mamlaka za nidhamu kuchukua hatua stahiki na kwa wakati

Read More
Habari

Bashungwa aipa Nida siku 60 kugawa vitambulisho milioni 1.2

December 17, 2024 Admin

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) kuhakikisha vitambulisho milioni

Read More
Habari

Mwelekeo usikilizwaji kesi ya mauaji wabadilishwa

December 17, 2024 Admin

Dar es Salaam. Kesi ya mauaji inayomkabili mama anayedaiwa kumuua binti yake akishirikiana na kijana wake wa kiume imerejeshwa Mahakama Kuu ipangiwe jaji wa kuisikiliza.

Read More
Habari

RC LINDI AZINDUA KITUO CHA POLISI DARAJA “A” WILAYA YA LINDI

December 17, 2024 Admin

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Polisi wa Mkoa wa Lindi wakati wa uzindua kituo cha

Read More
Habari

Watano kizimbani wakidaiwa kuhujumu miundombinu SGR

December 17, 2024 Admin

Kibaha. Watu watano wakiwemo raia wa kigeni wamefikishwa mahakamani mkoani Pwani wakikabiliwa na mashItaka ya kuhujumu miundombinu ya reli ya kisasa (SGR) na kuisababishia Serikali

Read More
Habari

Kampuni ya CRJE yazindua ripoti ya CSR ikiahidi kurudisha zaidi kwenye jamii

December 17, 2024 Admin

SERIKALI imeipongeza Kampuni ya ukandarasi kutoka nchini China ya CRJE (East Africa) Ltd kwa ufanyaji kazi uliotukuka huku ikiahidi kuendelea kukuza mahusiano yaliyodumu kwa muda

Read More
Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 18,2024

December 17, 2024 Admin

Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 18,2024 About the author

Read More
Habari

Bashe aingilia kati bei ya mbegu

December 17, 2024 Admin

Dodoma. Waziri wa Kilimo,  Hussein Bashe ametoa saa 24 kwa wazalishaji wa mbegu nchini kuwasilisha gharama za uzalishaji wa mbegu kwenye Taasisi ya uthibiti wa

Read More
Habari

WATAALAMU WA UNUNUZI WASISITIZWA UADILIFU

December 17, 2024 Admin

Na. Ramadhani Kissimba na Asia Singano, WF – Arusha Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kufanya kazi kwa kuzingatia

Read More

Posts pagination

1 2 … 11 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.