Majaji watano wajifungia TCB kusaka Kahawa bora

Moshi. Mashindano ya tano ya kusaka kahawa bora Tanzania yameanza rasmi, hatua ambayo inatajwa kuwa muhimu na inayotarajiwa kuongeza upatikanaji wa bei nzuri kwa zao hilo katika masoko ya kimataifa. Mashindano hayo yanafanyika katika Idara ya Uonjaji Kahawa na Minada, ndani ya jengo la Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB). Mashindano hayo yalianza rasmi Jumatatu Desemba…

Read More

Wadau: Fedha za Samia Infrastructure Bond zisaidie kutatua kero za barabara

Mbeya. Jumla ya Sh90 bilioni zinatarajiwa kukusanywa katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kupitia mpango wa Samia Infrastructure Bond, huku wananchi wakiomba fedha hizo zielekezwe kumaliza changamoto za miundombinu ya barabara. Hata hivyo, wananchi hao wamesifia mpango huo wakisema ushiriki wa wadau na wananchi katika kununua hatifungani utaongeza kasi ya kuboresha barabara, kuinua uchumi…

Read More

La mgambo lalia TFS, wavamizi hifadhini kikaangoni

Tanga. Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Kaskazini inajiandaa kutekeleza maagizo ya Serikali ya kuwaondoa wananchi waliovamia hifadhi za misitu na kufanya shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo. Akizungumza leo Desemba 18, 2024 katika kikao cha pamoja na wadau wa uhifadhi, Meneja wa TFS Kanda ya Kaskazini, Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi, James Nshale…

Read More

Unataka hela cheza sloti ya Pirates Power

Meridianbet kasino ya mtandaoni imepanga kukutajirisha Zaidi msimu huu wa kiangazi wakati ligi nyingi zikiwa zimeisha, endelea kupiga mtonyo kwa kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti huku ukisikilizia taarifa za usajili majira ya joto. Moja ya sloti nzuri na rahisi kabisa kupiga hela pale Meridianbet ni Sloti ya Pirates Power kutoka kwa watengenezaji…

Read More

Mbowe ajibu mapigo, kutangaza hatima yake Chadema Jumamosi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amevunja ukimya kuhusu kuendelea kugombea uenyekiti kwa mara nyingine akisema haitaji kuingia kwenye vita ya kukipasua chama hicho. Mbowe ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Desemba 18, 2024 alipozungumza na viongozi na wanachama wa Chadema waliofika nyumbani kwake Mtaa wa Mwanamboka, Mikocheni Dar…

Read More

Bonasi ya uaminifu ya milioni 10 Meridianbet kasino

Ni wakati mwingine wa kufurahia bonasi kibao kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, haswa kwa wateja waaminifu ambao wamekuwa na Meridianbet kila siku ambapo sasa watapatiwa mgao wa Milioni 10, Tsh 10,000,000/= kupitia promosheni ya Casino Loyalty Bonus Promosheni ya Casino Loyalty Bonus imeanza Ijumaa, Septemba 9, 2023, na itaendelea mpaka muda wa mwisho utakaotangazwa. Wachezaji…

Read More