
Sababu Jeshi la Polisi kutajwa 10 bora Afrika
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi la Tanzania limetajwa kuwa miongoni mwa majeshi bora 10 barani Afrika kwa kuwa na weledi na kuheshimu haki za wananchi, utafiti wa Afrobarometer umebainisha. Katika kigezo hicho, Burkina Faso imeongoza ikifuatiwa na Morocco, Niger, Benin, Mali, Senegal, Tanzania, Madagascar, Mauritania na Mauritius. Mbali na kigezo hicho, pia Tanzania imeongoza…