Gaza, Ukraine, sera ya ndani vyatia kiwingu urathi wa Biden – DW – 20.12.2024

Akiwa amesalia na mwezi mmoja tu madarakani, Biden anakabiliana na orodha ndefu ya hatua za sera za ndani na njeanazotaka kukamilisha kabla ya Rais mteule Donald Trump kuingia ofisini, ambapo inatarajiwa kuwa Trump atajaribu kubatilisha mafanikio mengi ya Biden. Miongoni mwa vipaumbele vya Biden ni kushinikiza usitishaji wa mapigano Gaza, kuachiliwa kwa mateka wa Marekani…

Read More

2024 Ndio Mwaka Moto Zaidi Kuwahi Kurekodiwa – Masuala ya Ulimwenguni

Msichana mdogo akijaribu kuvuka barabara iliyofurika nchini Bangladesh kufuatia kimbunga Remal. Bangladesh ni mojawapo ya mataifa yanayoathiriwa zaidi na hali ya hewa duniani na inatarajiwa kuathiriwa pakubwa na ongezeko la joto duniani. Credit: UNICEF/Farhana Satu na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Ijumaa, Desemba 20, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Desemba 20 (IPS) –…

Read More

Simulizi mauaji ya polisi, mtuhumiwa Dodoma

Dodoma. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ilingo, Kijiji cha Msagali wilayani Mpwapwa, Alex Chikumbi amesimulia ilivyokuwa wakati wa tukio la mauaji ya askari polisi wawili na mtuhumiwa wa unyang’anyi, Atanasio Malenda. Tukio hilo lilitokea Desemba 18, 2024, wakati Koplo Jairo Kalanda na Konstebo Alfred John walipokwenda kumkamata mtuhumiwa huyo. Chikumbi amesema askari walikuwa wamejipanga kumkamata Malenda…

Read More

MCT yaja na mfumo mpya tuzo za Ejat, wadau waujadili

Dar es Salaam. Baraza la Habari Tanzania (MCT) limeahirisha ufunguzi wa dirisha la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat) mpaka Aprili, 2025. Dirisha hilo ambalo hufunguliwa kati ya Novemba na Desemba kila mwaka, limeahirishwa, ili kufanya utafiti wa namna bora za kupata washindi wa tuzo hizo, tofauti na mfumo ulizoeleka. MCT imekuwa ikitoa tuzo…

Read More

TRA yajipanga kukusanya Sh15.27 trilioni ifikapo Juni 2025

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imejiwekea lengo la kukusanya Sh15.27 trilioni katika kipindi cha miezi sita kuanzia Januari hadi Juni 2025. Mbali na hilo mamlaka hiyo imejiwekea lengo la kukusanya Sh3.46 trilioni katika mwezi wa Desemba kiwango ambacho hakijawahi kukusanywa tangu kuanzishwa kwa mamlaka hiyo. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam…

Read More