NAIBU WAZIRI LONDO AWATAKA WATUMISHI WANAOTOA HUDUMA MIPAKANI KUFANYA KAZI KWA BIDII WELEDI NA UADILIFU

Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. DENNIS L. LONDO (Mb.) amewataka watumishi wanaotoa huduma mipakani kufanya kazi kwa bidi, weledi na uadilifu.  Mhe. Londo ametoa rai hiyo alipokuwa akiongea na watumishi wanaotoa huduma katika Kituo cha Utoaji Huduma kwa Pamoja cha Holili/Taveta, Wilayani…

Read More

Watatu wajeruhiwa kwa mapanga | Mwananchi

Dodoma. Watu watatu wamejeruhiwa kwa kukatwa kwa mapanga katika Mtaa wa Msangalalee Magharibi, Kata ya Dodoma Makulu na kikundi cha uhalifu cha watoto wenye umri chini ya miaka 18, baada ya kuwanyima fedha walizoomba. Matukio hayo yametokea kwa siku tatu mfululizo kuanzia Desemba 12 hadi 14, 2024 kati ya saa 2:00 usiku hadi saa 3:30…

Read More

Wazazi watakiwa kuwalinda watoto kipindi cha likizo na sikukuu

Mwenyekiti wa Chipkizi Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Morogoro Jeremia Kisena Mabuba amewataka wazazi na walezi kuwalinda watoto na vitendo vya ukatili hasa kipindi hiki Cha likizo na sikukuu. Mabuba amesema kuwa ataungana na Serikali ya awamu ya sita katika kuhakikisha wanakabiliana na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watoto hasa wakiume ambao wanaonekana wamesahaulika katika jamii…

Read More

Watawala wapya Syria wateua waziri wao wa mambo ya nje – DW – 21.12.2024

“Kamandi kuu inatangaza uteuzi wa Bw. Assaad Hassan al-Shibani kuwa waziri wa mambo ya nje katika serikali mpya ya Syria,” ilissema taarifa.  “Alijiunga na mapinduzi ya Syria mwaka 2011… na alishiriki katika kuanzisha Serikali ya Uokoaji,” yalisema maandishi yaliyochapishwa kwenye Telegram.  Serikali ya Uokoaji, ambayo ina wizara, idara, mamlaka za kisheria na usalama, ilianzishwa mwaka…

Read More

Wananchi walia kukamilika kwa stendi mpya ya mabasi Songea

Songea. Stendi ya mabasi inayojengwa katika Kijiji cha Lundusi kilichopo Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,  inatarajiwa kumaliza adha ya usafiri kwa wananchi walishio vijijini wanaolazimika kutumia gharama kubwa kufuata huduma ya usafiri mjini Songea, zaidi ya kilomita 60. Kutokana na umuhimu wake, wananchi wameitaka kamati ya ujenzi wa mradi wa stendi hiyo kukamilisha mradi huo…

Read More