Trump aapa kukomesha wazimu wa jinsia mbili kama kipaumbele – DW – 22.12.2024

Rais mteule Donald Trump ameahidi “kukomesha wazimu wa watu wa jinsia tofauti” katika siku ya kwanza ya urais wake, wakati Warepublican — wanaotarajiwa kudhibiti mabunge yote mawili pamoja na Ikulu ya Marekani — wakiendelea na juhudi zao za kupinga haki za LGBTQ.  “Nitasaini amri za kiutendaji kukomesha ukeketaji wa kijinsia wa watoto, kuondoa watu waliobadili…

Read More

Miradi ya kimkakati na ukuaji wa uchumi Zanzibar

Unguja. Miradi mikubwa ya kimkakati visiwani Zanzibar inayotajwa kuwa na mchango kwa wananchi na Taifa kwa jumla, imeelezwa kuwa, ni alama ya kukumbukwa mwaka huu. Baadhi ya miradi hiyo ni ujenzi na ufunguzi wa masoko makubwa ya wajasiriamali ya kisasa ya Jumbi na Mwanakwerekwe. Mbali na masoko hayo, Serikali tayari imezindua maegesho ya magari ya…

Read More

Netanyahu aahidi ‘nguvu, dhamira’ dhidi ya Wahuthi Yemen – DW – 22.12.2024

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu Jumapili aliahidi kulipiza kisasi dhidi ya waasi wa Huthi wa Yemen baada ya kurusha kombora kuelekea Tel Aviv, akionya kwamba Israel itashambulia kile alichokiita mkono wa mwisho uliosalia wa “mhimili wa uovu wa Iran.” Wahuthi walikishambulia kitovu cha kibiashara cha Israel Jumamosi kwa kile walichodai kuwa kombora la masafa marefu,…

Read More

Ujumbe mzito wa maaskofu salamu za Sikukuu ya Krismasi

Moshi. Maaskofu wa madhehebu matatu tofauti, wameibuka na mambo 10 katika salamu zao za Krismasi 2024 huku suala la utekaji, kupotea kwa watu na mauaji likitawala salamu hizo. Mbali na hilo viongozi hao wa dini wameonya  juu ya damu inayomwagika pasipo na hatia. Katika salamu zao hizo walizotuma kwa waumini na Mwananchi kupata nakala, maaskofu…

Read More

Wenye ulemavu wa kupitiliza kufundishwa wakiwa nyumbani

Rombo. Serikali imeanza utekelezaji wa usajili wa mwongozo wa watoto wenye ulemavu unaowapa nafasi wale wenye changamoto zaidi kufundishwa wakiwa nyumbani. Hayo yameelezwa leo Jumapili Desemba 22, 2024 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda wakati akikabidhi viti mwendo kwa watoto wenye mahitaji maalumu wilayani humo. Amesema Serikali haitamwacha mzazi abebe jukumu…

Read More

Urusi yaandamwa na matukio ya kuchomwa moto taasisi zake – DW – 22.12.2024

Urusi imeshuhudia wimbi la majaribio ya matukio ya kuwashwa moto yakilenga mabenki,vituo vya biashara, ofisi za posta na majengo ya serikali. Matukio hayo yameonekana kufanyika katika kipindi cha siku tatu zilizopita ikielezwa kwamba takriban matukio 20 tofauti yamerikodiwa, ya watu kujaribu kuwasha vifaa vya miripuko  au kuwasha baruti katika majengo tangu Ijumaa hasahasa kwenye miji…

Read More

Mchunguzi UN asema uthibitisho wa mashtaka Syria unawezekana – DW – 22.12.2024

Kiongozi wa tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Syria aliyeko ziarani nchini humo amesema Jumapili kuwa kuna uwezekano wa kupata “ushahidi wa kutosha kabisa” wa kuwafungulia mashtaka watu waliotenda uhalifu dhidi ya sheria za kimataifa, lakini alisisitiza haja ya haraka ya kuuhifadhi na kuulinda ushahidi huo. Milango ya magereza ya Syria ilifunguliwa baada…

Read More

RAIS SAMIA AFUNGUA UCHUMI WA NCHI KWA KUKARIBISHA WAWEKEZAJI NCHINI-ULEGA

    Na Mwamvua Mwinyi, Pwani  Disemba 22,2024 WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa kwa mwaka 2024, mitaji ya uwekezaji wa kimataifa iliyoingia nchini imeongezeka kwa asilimia 26, ikiwa ni jumla ya dola bilioni 42.1 za Kimarekani. Akizungumza katika mkutano uliowakutanisha viongozi mbalimbali, wawekezaji, na wananchi katika stendi ya zamani ya Mailmoja, Kibaha, Mwishoni…

Read More