Benki ya Japani Yakosolewa kwa Kufadhili Mradi wa LNG wa Msumbiji Unaolaumiwa kwa Uhamishaji – Masuala ya Ulimwenguni

Kijiji katika Peninsula ya Afungi katika Wilaya ya Palma, Mkoa wa Cabo Delgado. Credit: Justica Ambiental by Maina Waruru (nairobi) Jumatatu, Desemba 23, 2024 Inter Press Service NAIROBI, Des 23 (IPS) – Wanahaŕakati wa hali ya hewa na mazingiŕa kutoka Japani wameikosoa Benki ya Japan ya Ushiŕikiano wa Kimataifa (JBIC) kwa kufadhili mradi wenye utata…

Read More

Ujenzi uwanja wa ndege Ibadakuli wafikia asilimia 80

Shinyanga. Ujenzi wa kiwanja cha ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga umefikia asilimia 80 na unatarajiwa kukamilika Aprili 2025. Mradi huo unaofadhiliwa na Serikali ya Tanzania na kutekelezwa na Mkandarasi China Hennan International Corporation Group Co. Ltd (CHICO) utagharimu Sh49.18 bilioni. Msimamizi wa Tanroads Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Chiyando Matoke amesema sehemu kubwa iliyobaki ni…

Read More

Kikwete awataja Wachaga vinara wa kujituma

Rombo. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo. Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili ya mlo wao wanalazimika kusukumwa. Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Desemba 23, 2024 alipowaongoza…

Read More

Migogoro ya Chakula Inazidi Katika Maeneo ya Vita Yanayoharibiwa na Majira ya Baridi – Masuala ya Ulimwenguni

Serikali ya Romania, jimbo la Balkan kusini mwa Ukraine, na washirika wake wa kibinadamu wametoa msaada mkubwa kwa Waukraine wanaokimbia kuongezeka kwa mzozo na Urusi tangu 2022. Walengwa hupokea chakula na masharti ya kibinadamu kutoka kwa Msalaba Mwekundu wa Romania. Credit: Filip Scarlat/Romanian Red Cross na Catherine Wilson (bucharest, romania) Jumatatu, Desemba 23, 2024 Inter…

Read More

SHINDANO LA MABINGWA LA EXPANSE MILIONI KUSHINDANIWA

KITITA cha shilingi milioni moja taslimu kushindaniwa kupitia shindano la michezo ya kasino ya Expanse, Hivo wewe mdau wa michezo ya kasino unaweza kua mshindi na kuifanya sikukuu yako ipendeze kwa kushiriki shindano hili. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja…

Read More

Tasaf yapeleka neema Upenja | Mwananchi

Dar es Salaam. Wananchi wa Upenja na Shehia za jirani, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Ungujja, sasa wataondokana na adha ya kufuata huduma za afya mbali baada ya kuzinduliwa kwa kituo cha afya. Kituo hicho kitakachokuwa kikitoa huduma mbalimbali, ikiwemo za kibingwa kimezinduliwa ikiwa ni utangulizi kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi…

Read More