
Watu 21 wauawa Msumbiji baada ya uamuzi wa mahakama – DW – 24.12.2024
Mahakama kuu ya nchi hiyo inayozungumza Kireno ilithibitisha Jumatatu kuwa chama cha Frelimo, ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975, kilishinda uchaguzi wa urais wa Oktoba 9 ambao tayari ulikuwa umechochea wiki kadhaa za machafuko. Jumla ya “matukio 236 ya vurugu kali yaliripotiwa” kote nchini, yakisababisha watu wasiopungua 25 kujeruhiwa, wakiwemo maafisa wa polisi 13, Waziri wa…