Mashine mpya zasaidia kupunguza gharama ya dialisisi

Dar es Salaam. Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000. Mashine hizo moja ina thamani ya Sh31.76 milioni ambazo tayari zimefungwa katika hospitali za rufaa za mikoa. Zina uwezo wa kutoa huduma zaidi…

Read More

Janga la wazazi, walezi kuwaamini bodaboda

Dar/Dodoma. Wakati likiripotiwa tukio la mtoto Graison Kanyenye (6), mkazi wa jijini Dodoma kuuawa akiwa ameachwa kwenye uangalizi wa dereva wa pikipiki maarufu bodaboda, angalizo limetolewa kwa familia kuhusu baadhi ya wazazi na walezi kuwa na imani kubwa kwa watoa huduma hao wa usafirishaji. Mwananchi imebaini familia nyingi hususani mijini zimekuwa zikiwaamini bodaboda na kuwakabidhi…

Read More

Polisi Mbeya yapiga marufuku kulipua baruti mwaka mpya

Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepiga marufuku na kuonya wazazi watakaoshindwa kuwadhibiti watoto wanaojihusisha na ulipuaji baruti kwenye mkesha wa kuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. Jeshi hilo, pia limewaagiza wenyeviti wa serikali za mitaa kuhakikisha wanaimarisha ulinzi na usalama na kutoa elimu kwa wazazi kuwa walinzi wa familia zao. Akizungumza na…

Read More

Duwasa yapunguza makali mgawo wa maji Dodoma

Dodoma. Takribani wakazi 800 wa Mtaa wa Mwangaza jijini Dodoma, waliokuwa wakilazimika kununua ndoo moja ya maji kwa Sh500, sasa wameondokana na changamoto hiyo baada ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira (Duwasa) kukamilisha mradi wa maji katika eneo hilo. Akizungumza leo Desemba 27, 2024, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwangaza, John Ndawanya amesema…

Read More