Hospitali ya mwisho kaskazini mwa Gaza iliacha kufanya kazi kufuatia uvamizi – Masuala ya Ulimwenguni

Uvamizi huo unaoripotiwa kufanywa na jeshi la Israel, ulishuhudia baadhi ya maeneo ya hospitali hiyo yakiteketezwa na kuharibiwa vibaya, ikiwemo maabara, kitengo cha upasuaji na duka la dawa. Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk.Abu Safiya, anadhaniwa kuzuiliwa wakati wa uvamizi huo. WHO amepoteza mawasiliano naye. Idadi ya watu waliripotiwa kuvuliwa nguo na kulazimika kutembea kuelekea kusini…

Read More

Usafi mwisho wa Mwezi waendelea Kata ya Mnadani

Na. Coletha Charles, DODOMA Wananchi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya Jiji la Dodoma walifanya usafi wa mazingira mita tano kuzunguka maeneo yao ya makazi na biashara ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya serikali ya kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi. Akizungumza wakati wa zoezi hilo la usafi, Mkuu wa Kitengo cha Usafi na Usimamizi…

Read More

Mahitaji ya kiafya nchini Syria yanazidi kuwa mbaya huku kukiwa na hali ya msimu wa baridi – Masuala ya Ulimwenguni

Pia ilitaja ongezeko la magonjwa ya mfumo wa kupumua, yanayochangiwa na uhaba wa joto, kambi zilizojaa watu na miundombinu iliyoharibika. “Kuna ongezeko kubwa linaloendelea la magonjwa kama mafua (ILI) na maambukizo makali ya kupumua kwa papo hapo (SARI), tangu mwanzo wa msimu wa baridi na kuongezeka kwa ziara za hospitali na kuongezeka kwa wasiwasi wa…

Read More

Dua Lipa awaacha midomo wazi mashabiki ,achumbiwa rasmi

Dua Lipa amezua gumzo za shangwe kwenye sherehe  ya Krismasi baada ya kutangaza kuwa amechumbiwa Mwimbaji huyo wa Radical Optimism alienda kwenye Instagram yake kuonesha pete yake ya uchumba . Akichapisha picha yake akiwa amevalia suruali nyeupe yenye Lipa aliandika kwenye nukuu, “Krismasi ilikuwa nzuri sana. Mashabiki walifurika sehemu ya maoni ili kushiriki maoni yao…

Read More

Vipodozi vyamtia matatani dereva, utingo

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia dereva wa lori la mafuta, Jackson Kashebo (45), mkazi wa Mbagala, mkoani Dar es Saalam na utingo wake, William Sichone (34), mkazi wa mtaa wa Chapwa wilayani Momba wakituhumiwa kusafirisha vipodozi vyenye viambata vya sumu. Taarifa ya polisi imesema alikuwa akiendesha lori lenye namba za…

Read More

Urithi alioacha ofisa hazina, azikwa pamoja na bintiye

Arumeru. Ni majonzi, aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Ofisi ya Hazina, Amos Nnko na binti yake Maureen wakizikwa. Nnko na Maureen (16) walifariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Same mkoani Kilimanjaro Desemba 22, 2024. Katika ajali hiyo, Agnes mke wa Nnko, watoto wao wawili Merilyne na Melvine na msaidizi wa…

Read More