RUANGWA KWA MAENDELEO, IMEWEZEKANA-MAJALIWA – MICHUZI BLOG

*Asema Rais Dkt. Samia anamchango mkubwa kwenye Maendeleo ya Wilaya hiyo. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Wilaya ya Ruangwa imepiga kasi kubwa ya maendeleo ambayo imewawezesha wakazi wa Wilaya hiyo kushiriki kikamilifu katika shughuli mbalimbali za kiuchumi. Amesema kuwa Wilaya hiyo changa ilikuwa na changamoto nyingi kwenye Sekta ya Elimu, Afya, Kilimo, Miundombinu ikiwemo…

Read More

Mtoto aliyedaiwa kufungiwa ndani na mama yake aokolewa

Mwanza. Serikali imemuokoa mtoto wa miaka miwili aliyedaiwa kufungiwa ndani na mama yake (18) kisha yeye kwenda virabuni kunywa pombe hadi asubuhi ya siku inayofuata. Mama huyo anadaiwa kuwa na matatizo ya kisaikolojia kutokana na kuwa na mgogoro na mzazi mwenzake ambaye hata hivyo  bado hajafahamika, yaliyomfanya kuwa mraibu wa pombe. Akielezea kwenye mtandao wa…

Read More

Wajumbe wamkataa katibu wa CCM Monduli

Arusha. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Monduli mkoani Arusha wameonyesha kutoridhishwa na uongozi wa katibu wa chama hicho wilayani humo, Rukia Omary wakimtuhumu kukigawa chama hicho na kusababisha migogoro. Hata hivyo, akijibu tuhuma hizo, Rukia amesema vita hiyo inatengenezwa na baadhi ya viongozi wenye nia ya kugombea ubunge mwaka 2025. “Wala hakuna shida ndani…

Read More

Josiah aachiwa msala Tanzania Prisons

KLABU ya Tanzania Prisons imefikia makubaliano ya kumpa mkataba hadi mwisho wa msimu huu aliyekuwa kocha wa Geita Gold, Amani Josiah, ikiwa ni muda mfupi tangu timu hiyo ya Maafande iachane na Mbwana Makata na msaidizi wake, Renatus Shija. Taarifa kutoka ndani ya Geita Gold zimeliambia Mwanaspoti, Josiah amewaaga viongozi na wachezaji wa kikosi hicho,…

Read More

Wanandoa wafa, ajali iliyoua walimu wanne Nyasa

Songea. Wanandoa wawili ni miongoni mwa watu sita waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma. Ajali hiyo ilitokea jana saa 1:10 asubuhi, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani humo. Wanandoa hao waliofariki dunia ni Michael Mkinga, aliyekuwa dereva na mke ni Judith Nyoni ambaye ni…

Read More