ANZA WIKI YAKO NA UTAJIRI NDANI YA MERIDIANBET

WIKI mpya imeanza ndani ya Meridianbet kwani leo hii unaweza ukajipigia mkwanja wako wa maana ukiweka dau lako dogo tuu. Timu kibao zipo uwanjani leo. Ingia na ubashiri sasa. EPL leo hii Aston Villa atakuwa pale nyumbani Villa Park kukiwasha dhidi ya Brighton ambao wametoka kutoa sare mechi yao iliyopita. Unai Emery na vijana wake…

Read More

WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MSIMU WA SIKUKUU NA LIKIZO KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII

SERIKALI imewahimiza wananchi kutumia msimu wa sikukuu na likizo kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kujifunza, kuburudika na kuchangia ukuaji wa uchumi wa Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa jana, Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Ernest Mwamwaja alisema Tanzania imejaliwa kuwa na vivutio vya kipekee ambavyo vinapaswa kuthaminiwa…

Read More

DKT. DIMWA AZUNGUMZIA UIMARISHAJI SEKTA YA AFYA NCHINI.

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, amesema chama hicho kimeendelea kutafsiri kwa vitendo sera zake za uimarishaji wa huduma za afya nchini zinazoendana na mahitaji ya wananchi wa makundi yote. Hayo ameyasema katika ziara yake ya kuwatembelea wagonjwa na watu wenye mahitaji maalum katika maeneo mbalimbali ya…

Read More

Maswi amzungumzia Jaji Werema, akumbuka Escrow

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi amemtaja Mwanasheria Mkuu (AG) mstaafu, Jaji Frederick Werema kuwa mmoja wa viongozi waliokuwa na misimamo huku akikumbusha weledi aliouonyesha wakati wa sakata la akaunti ya Escrow. Kauli ya Maswi inakuja saa chache baada ya taarifa ya kifo cha Jaji Werema kilichotokea katika…

Read More

Dk Mwinyi ataka wimbo mmoja wa amani, mshikamano 2025

Unguja. Wakati Watanzania leo wakiuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani na mshikamano. Amesema mwaka 2025 ni wa uchaguzi mkuu, hivyo ni wajibu wa viongozi wa kisiasa, taasisi za kijamii, viongozi wa dini na wananchi wote kukumbushana umuhimu wa kudumisha na kuilinda amani ya…

Read More

Mavunde asitisha uchimbaji dhahabu Mto Zira

Chunya.  Waziri wa Madini,   Athony Mavunde amesitisha shughuli ya uchimbaji madini ya dhahabu ndani ya Mto Zira uliopo katika Kijiji cha Ifumbo, Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Hatua hiyo imekuja siku chache baada kuibuka mgogoro wa wananchi na mwekezaji wa kampuni ya G&I Tech Traditional Company Limited, kulalamikia uharibifu wa mazingira na uchafuzi wa maji…

Read More