Tendwa kuzikwa Dar Desemba 20

Dar es Salaam. Mwili wa John Tendwa, aliyewahi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini utazikwa Desemba 20, 2024 katika makaburi ya Kondo, Tegeta jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, William Tendwa maombolezo yanaendelea nyumbani kwao Kibamba Hospitali. Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 18, William amesema mwili wa baba yake utaagwa…

Read More

Jinsi wananchi wanavyobadili desturi matumizi ya mikoko-2

Mikoani. Ilizoeleka kwa muda mrefu kuwa jamii za pwani hutegemea miti ya mikoko kwa ajili ya ujenzi, kutengeneza majahazi na mitumbwi, kuni, mbao za kutengenezea samani na matumizi mengineyo. Hata hivyo, kwa sasa matumizi ya mikoko yamedhibitiwa, hivyo wananchi wanalazimika kubadilisha mazoea ya matumizi ya mikoko kutokana na uharibifu wa miti hiyo. “Hapo awali mikoko…

Read More

Urusi yadai kumzuilia mshukiwa aliyemuua Igor Kirillov – DW – 18.12.2024

Kwenye taarifa, kamati ya Uchunguzi ya Urusi inayochunguza matukio makubwa ya jinai, imesema mshukiwa huyo ambaye hajatambulishwa jina aliwaambia kwamba alienda Moscow kutekeleza shambulizi hilo kwa niaba ya vikosi vya ujasusi vya Ukraine. Kwenye kanda ya vidio iliyorekodiwa akikiri kuhusika kwake na iliyochapishwa na shirika la habari la Baza, na linalofahamika kuwa na vyanzo vya…

Read More

Mwenyekiti mpya CUF kujulikana leo

Dar es Salaam. Jawabu kuhusu kuendelea au kukoma kwa uongozi wa Profesa Ibrahim Lipumba katika nafasi ya uenyekiti wa CUF Taifa, linatarajiwa kupatikana leo, baada ya matokeo ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho. Katika uchaguzi huo unaohusisha kuwapata viongozi wa chama hicho kwa ngazi za kitaifa, Profesa Lipumba anachuana na makada wengine wanane waliopitishwa…

Read More

BENKI YA AKIBA YAZINDUA KAMPENI YA TWENDE KIDIJITALI

Na Mwandishi wetu—Dar es salaam Benki ya Akiba imezindua kampeni ya Kidijitali ijulikanayo kama “Twende Kidijitali ili kutoa suluhisho za kifedha. Taarifa iliyotolewa leo Desemba 18,2024 na Kitengo cha Masoko na Mawasiliano na kusema kuwa Kampeni hiyo imezinduliwa Desemba 12, 2024 jijini Dar es salaam yake mpya ya Twende Kidijitali, inalenga kuboresha uzoefu wa wateja…

Read More

Serikali kuongeza ulizi Kwa Mkapa, kamera 200 kufungwa

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaonya mashabiki wa mpira wa miguu wanaofanya vurugu uwanjani akisema watashughulikiwa, kwani Serikali ina ukarabati kwa kuweka kamera zaidi ya 200. Kauli hiyo ameitoa leo Desemba 18, 2024 katika mkutano wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na wadau…

Read More