
Jumuiya ya Cémac yakabiliwa na hatari ya mzozo wa kifedha – DW – 18.12.2024
Rais wa Cameroon Paul Biya amewaonya marais wenzake kwamba ikiwa hakuna kitakachofanyika, jumuiya ya Cémac itakabiliwa na matokeo mabaya, kwa nchi wanachama, lakini pia kwa ukanda huo wa Afrika ya Kati. Kwa hiyo, kwa pamoja viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi na kifedha ya mataifa ya Afrika ya Kati wanatakiwa kukabiliana na mfumuko wa bei, kuzuia…