
BILIONEA MULOKOZI ANUNUA NDEGE BINAFSI, ATUA MANYARA ,WANANCHI WAFIKA KUMPOKEA.
Na Ferdinand Shayo ,Manyara . Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amenunua ndege binafsi aina ya Helkopta ambapo ametua kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Stedium akiwa ameambatana na familia yake. Mulokozi anaingia miongoni mwa Watanzania wachache wanaomiliki ndege binafsi ambapo amesema kuwa kampuni yake imekua ikikua…