Uhalifu Mbaya Zaidi – Bado Haujafunguliwa Mashitaka: Kutokuwa na Usawa – Masuala ya Ulimwenguni

“Bila ya juhudi za pamoja, mabilioni ya watu wanakabiliwa na mustakabali wenye njaa, kuhama makazi yao na kuzorota kwa uchumi.” Credit: Desmond Brown/IPS na Baher Kamal (madrid) Jumanne, Desemba 17, 2024 Inter Press Service MADRID, Desemba 17 (IPS) – Sayari ya Dunia inakauka, bila kuchoka. Zaidi ya robo tatu ya ardhi yote imekuwa kavu kabisa…

Read More

Makonda apiga marufuku wafanyabiashara kuchangishwa kwa shughuli za Serikali

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amepiga marufuku wafanyabiashara mkoani humo kuchangishwa michango kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kiserikali. Amesema wamekubaliana kwamba mkoani humo hakuna mfanyabiashara atakayepelekewa askari polisi au mgambo na kuwasumbua katika maeneo yao ya biashara. Mkuu huyo wa mkoa amebainisha hayo leo Jumanne Disemba 17, 2024, mbele ya Naibu…

Read More

TLS wamjibu Ndumbaro, waahidi kushirikina na serikali

  CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Aidha, kimesema pamoja…

Read More

Wanawake wanaonyonyesha washauriwa kula milo mitano siku

Renatha Kipaka, Bukoba Wanawake wanaonyonyesha mkoani Kagera wameshauriwa kula milo mitano kwa siku ili kupata maziwa yakutosha kwa mtoto. Kauli hiyo imetolewa jana na Ofisa Lishe wa hospitali ya Rufaa Bukoba wakati Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fatma Mwassa alipofika hospitalini hapo kutoa zawadi mbalimbali kwa mwandishi wa habari Benson Eusace alifanikiwa kupata watoto wanne…

Read More

Familia ya Ulomi yakubali ndugu yao amefariki kwa ajali

Dar es Salaam. Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 17, 2024, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ajali hiyo ilitokea…

Read More

Tanzania yaanza kufanikiwa mauzo bidhaa za viwanda nje

Kibaha. Tanzania imefanikiwa kuuza bidhaa mbalimbali za viwanda kwenye nchi zaidi ya 50 duniani, hatua inayochangia kukuza uchumi wa wananchi. Hivyo, wamiliki wa viwanda wamehimizwa kuhakikisha uzalishaji wa bidhaa zao unazingatia viwango vya kimataifa ili kulinda heshima na hadhi ya Taifa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Desemba 17, 2024, na Waziri wa Viwanda na Biashara,…

Read More

Mwelekeo mpya matumizi ya magari ya umeme Tanzania

Dar es Salaam. Wakati mwamko wa matumizi ya vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme ikiwemo pikipiki na magari ukiongezeka nchini, wadau kwa kushirikiana na Serikali wamekutana kujadili mfumo utakaotoa mwongozo wa uingizaji na utumiaji wa vyombo hivyo. Uwepo wa mafundi wabobezi, uingizaji wa vyombo hivyo, gharama, taratibu za usajili, utambuzi na uelewa ni miongoni mwa yaliyojadiliwa…

Read More

Stamico yaja na mkaa mbadala

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema teknolojia ya mkaa mbadala iliyobuniwa na Shirika la Taifa la Madini (Stamico), itawezesha kupunguza matumizi ya mkaa unaotokana na kuni. Mkaa unaotokana na kuni unatajwa kuwa na madhara mbalimbali ikiwemo upumuaji, uharibifu wa mazingira na saratani, lakini kwa mujibu wa Chalamila mkaa…

Read More

RAIS SAMIA APONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI KILIMANJARO

Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ummy Nderiananga ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi za maendeleo katika Mkoa wa Kilimanjaro. Pia amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bwa. Nurdin Babu kwa utendaji…

Read More