
Ufugaji funza ulivyoboresha maisha ya kaya duni
Dar es Salaam. Waswahili wanasema ukitupacho wewe kwa mwingine dhahabu na hii imedhihirika kwa wanachama tisa wa mradi wa uzalishaji funza wanaotumia mabaki ya chakula na maganda ya matunda kama ndizi na viazi kujiingizia kipato. Wanachana hawo ambao ni wanufaika wa Mpango wa Maendeleo wa Kaya Maskini (Tasaf) walianza mradi wao mwaka 2021 baada ya…