
Zanzibar: CAG amewataka watumishi wanapofanya kazi ya ukaguzi kuwa waelekezaji badala ya kukemea
Na Nihifadhi Issa. MAKAMU Mwenyekiti wa Bodi ya Utumishi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG), Dk Idrissa Muslim Hija amewataka watumishi wa ofisi hiyo wanapofanya kazi ya ukaguzi kuwa waelekezaji badala ya kukemea. Ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano mkuu wa ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya…