KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI MWANGA MPYA BIMA YA AFYA

Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uangalizi wa pekee. Mhe. Mhagama ameyasema hayo leo tarehe 17, Desemba 2024 Jijini Dodoma, wakati akizindua vifurushi vitatu vya vya Bima ya Afya…

Read More

KMC yampasua kichwa Ongala | Mwanaspoti

LICHA ya kupata ushindi wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Pamba Jiji, lakini Kocha wa KMC, Kally Ongala amesema hajaridhika na kiwango cha timu yake huku akibainisha kuwa ushindi huo ni hatua muhimu katika ujenzi wa kikosi hicho. Kocha huyo alikiri kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanyika ili kuhakikisha timu inafanikiwa…

Read More

TRA PWANI YAJA NA MPANGO WA KUTOA USHAURI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZA WALIPAKODI

VICTOR MASANGU, PWANI Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani imesema kwamba itawahudumia walipakodi wake kwa kuzingatia misingi imara ya kuwa na uadilifu, uwajibukaji,, weledi pamoja na suala la kuwa na uaminifu pamoja na kuweka mikakati endelevu ya kuwatembelea sehemu zao za biashara kutoa ushauri, kusikiliza changamoto zinazowakabili. Hayo yamebainishwa na Kamishina wa uchunguzi…

Read More

Watendaji ofisi ya CAG watakiwa kutumia lugha ya staha

Unguja. Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Utumishi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG), Dk Idrissa Muslim Hija amewataka watumishi wa ofisi hiyo wanapofanya kazi ya ukaguzi kuwaelekezaji badala ya kukemea. Ametoa kauli hiyo leo Desemba 17, 2024 wakati akifungua mkutano mkuu wa ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho…

Read More

Mcameroon Pamba amtaja Che Malone

NYOTA mpya wa Pamba Jiji, Cherif Ibrahim, ameweka wazi namna alivyovutiwa na kujiunga na klabu hiyo baada ya kumtaja beki wa Simba, Che Malone Fondoh kama chanzo cha kumshawishi kukubali ofa aliyopewa na miamba hiyo ya Mwanza. Ibrahim ambaye amejiunga na Pamba Jiji kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo akitokea Coton Sport FC ya…

Read More

Sativa amlipia Lissu fomu ya uenyekiti

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu amesema kuwa fomu ya kuwania uenyekiti wa chama hicho aliyoichukua leo imelipiwa Sh1.5 milioni na mwathirika wa tukio la kutekwa, Edgar Mwakabela, maarufu Sativa. Mbali na Sativa, Lissu amesema pia baadhi ya wanachama wa chama hicho walishachanga fedha pia kwa ajili ya kulipia fomu hiyo….

Read More