
Fadlu Davids aihofia KenGold ataja ugumu ulipo
Kocha wa Simba, Fadlu Davids amesema kuwa timu yake inaingia kwa tahadhari kubwa katika mechi dhidi ya Kengold kesho katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge licha ya wapinzani wao kushika mkia kwenye msimamo wa ligi. Davids amesema kuwa ugumu wa mchezo huo wa kesho unatokana na ulazima wa Kengold kuondoka na pointi tatu ili ijinasue…