
Hasheem Thabeet, aonyesha ukubwa wake Kenya
DAR City imemaliza nafasi ya pili kwenye michuano ya Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati, lakini gumzo kubwa lilikuwa ni Hasheem Thabeet kutokana na mavitu yake. Kwenye mashindano hayo, Hasheem alionyesha kiwango kizuri ikiwamo kupokonya mipira kwa kiwango kikubwa. Pia nyota huyo wa zamani wa Oklahoma City Thunder ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya…