Mlipuko waua jenerali wa Urusi aliyeidhinishwa kwa matumizi ya silaha za kemikali nchini Ukraine

Jenerali mkuu wa Urusi anayeshutumiwa na Ukraine kwa kuhusika na matumizi ya silaha za kemikali dhidi ya wanajeshi wa Ukraine ameuawa mjini Moscow kwa kutumia bomu lililofichwa kwenye skuta ya umeme, wachunguzi wa Urusi walisema Jumanne. Msaidizi wa Kirillov, ambaye hakutambuliwa kwa jina, pia aliuawa katika mlipuko huo, Kamati ya Uchunguzi ya Urusi ilisema katika…

Read More

John Tendwa afariki dunia – Mwanahalisi Online

  ALIYEWAHI kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Tendwa alikutwa na mauti usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia aliyezungumza kwa sharti la kutotajwa…

Read More

Watoto wawili wadaiwa kujinyonga Tabora, sababu zatajwa

Tabora. Watoto wawili mkoani Tabora wanadaiwa kufa kwa kujinyonga katika matukio tofauti, akiwemo mwanafunzi wa darasa pili shule ya msingi Igunga anayedaiwa kukutwa amejinyonga juu ya mti wa mwembe karibu na nyumba wanayoishi. Akielezea matukio hayo leo Jumatatu, Desemba 16, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema jana, Desemba 15, saa 12…

Read More

Jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi

 Kwimba. Mkazi wa Kijiji cha Nkalalo kilichopo Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Nicholas James (21) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha nne (19) katika Shule ya Sekondari Taro. Hukumu hiyo imetolewa Desemba 16, 2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, John Jagadi baada ya…

Read More

Huko Damascus, mjumbe mkuu wa Umoja wa Mataifa anasisitiza haja ya mabadiliko ya kuaminika, ya umoja, ya 'inayomilikiwa na Wasyria' – Masuala ya Ulimwenguni.

Tume Huru ya Umoja wa Mataifa ya Uchunguzi kuhusu Syria pia imezitaka pande zote za nchi hiyo kutanguliza mbele ulinzi wa raia wakati nchi hiyo ikikabiliana na hali mbaya ya kibinadamu na ghasia zinazoendelea ikiwemo Golan. Mjumbe Maalum Geir Pedersen imefika mjini Damascus mwishoni mwa juma, na siku ya Jumapili walifanya mikutano na viongozi wakuu…

Read More

Rais Mwinyi akutana na tume ya maboresho ya kodi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Tume ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Zanzibar iliyofika kujitambulisha. Katika mazungumzo na Tume hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wake, Balozi Ombeni Sefue na ujumbe wake, Rais Dk. Mwinyi wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo mapendekezo…

Read More

IMF yapongezwa kwa kubuni miradi mbalimbali

Mwanajumuiya wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) (Alumni) Abdulmajid Nsekela amempongeza Mkuu wa chuo hicho Profesa Josephat Lotto na timu yake kutokana na kubuni mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuboresha elimu nchini. Nsekela ameyazungumza hayo wakati wa hafla ya chakula cha jioni ya wanafunzi waliosoma zamani katika chuo hicho ,iliofanyika usiku wa kuamkia leo…

Read More

Wadatooga…Wizi na kugombea mwanamke kwao ufahari

Wadatooga ni kabila lenye mila za kushtua na kusisimua. Ikiwa kwenu mnalaani wizi, kwao ni fahari na heshima kubwa. Kama haitoshi ukiwa unaiba ng’ombe au kugombania mwanamke kwao ndio ujasiri. Yote haya ni kutokana na wao kuwa wafugaji, hivyo wakati mkulima analilia mazao yake kuharibika kutokana na ukame, Mtatooga analilia ng’ombe wake kukosa majani. Mdatooga…

Read More

Aliyekuwa msajili wa vyama vya siasa afariki dunia

Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji John Tendwa amefariki dunia. Taarifa za awali za kifo chake zimetolewa leo Desemba 17, 2024 na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi. Jaji Mutungi amesema wanasubiri taarifa rasmi kutoka kwa familia na wao kama ofisi ya Msajili watatoa taarifa rasmi. Amesema…

Read More