
17 Coastal waingia ukurasa mpya
ZIKIWA zimebaki siku tano kabla ya Klabu ya Coastal Union kufanya uchaguzi wa viongozi, Desemba 21 mwaka huu, leo Jumanne kampeni zinatarajiwa kuanza kushika kasi kwa wagombea kujinadi kwa wanachama kuomba kura. Coastal inatarajiwa kufanya uchaguzi huo baada ya wagombea 17 kupitishwa na Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo huku nafasi ya mwenyekiti ikionekana kutokuwa…