
Guede apewa thank you Singida Black Stars
Maisha ya mshambuliaji Joseph Guede ndani ya klabu ya Singida Black Stars yamefikia baada ya kutupiwa virago. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga klabu yake imetangaza usiku huu kuwa imeachana naye baada ya kudumu kwa miezi mitano pekee. Guede hakuwa na miezi mitano mizuri ndani ya Singida baada ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa…