
Lissu adai kuwasilisha majina ya waliopenyezewa fedha za uchaguzi Chadema
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema ameshapeleka ushahidi kuhusu madai ya rushwa ndani ya chama hicho kwenye vikao halali, hivyo anatarajia utekelezaji. Lissu aliyetangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho Desemba 12, 2024 jijini Dar es Salaam, amesema mambo aliyoyataja kama changamoto atakazozishughulikia ndio ajenda zake za uchaguzi. Kauli ya Lissu imekuja…