
DKT. POSSI AFUNGUA MAFUNZO KWA MAWAKILI WA SERIKALI
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro. Mkurugenzi wa Idara ya Madai, ndugu Mark Mulwambo akitoa salamu za Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa niaba ya Naibu Wakili Mkuu wa Serikali,…