TRA YAWASHAURI WALIPAKODI KUTOSHEHEREKEA SIKUKUU NA VIPORO

 Kaimu Naibu kamishna Idara ya Walipa Kodi wa Kati kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Godwin Barongo akimkabidhi zawadi Mwakilishi wa Kampuni ya CRJE Estate Ltd, Johari Rotana Hotel, Doris Zeng leo Novemba 16, 2024 wakati walipowatembelea ofisini kwao kwaajili ya kuwashukuru kama walipaji kodi. KAIMU Naibu kamishna Idara ya Walipa Kodi wa Kati kutoka Mamlaka…

Read More

USHINDI WA KISHINDO WA CCM UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA ULITOKANA NA JUHUDI ZA WANA CCM:ISSA GAVU

Na Mwandishi Wetu, Tanga.  Chama Cha Mapinduzi kimeeleza kuwa ushindi wa kishindo ulioupata kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 umetokana na Juhudi za wanachama wa CCM waliokitafutia kura za ushindi tofauti na baadhi ya taasisi mbalimbali zinavyoeleza. Hayo yameelezwa na Katibu wa NEC,Idara ya Organaizesheni CCM Ndg. Issa Ussi Gavu alipokuwa…

Read More

DKT. YONAZI AMPONGEZA MHE. BALOZI MUTATEMBWA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt, Jim Yonazi akiwa katika picha ya pamoja wakati wa kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu Dkt Henry James Kilabuko na Kumuga Mhe. Balozi Anderson Mutatembwa tukio lilofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt, Jim…

Read More

Ni mwisho wa CUF? | Mwananchi

Dar es Salaam. Mgogoro unaofukuta ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambacho kinafanya uchaguzi wa kanda kwa sasa unahusishwa na ukomo wa madaraka. Ukomo huo unaozua mgogoro ni wa nafasi ya mwenyekiti taifa ambayo kwa sasa inashikiliwa na Freeman Mbowe ambaye amedumu kwa miaka 20. Hajaweka wazi iwapo atajitosa kutetea wadhifa huo kwenye…

Read More

GAVU ATAKA KASI ZAIDI KUONGEZA WANACHAMA JUMUIYA ZA CHAMA

*Atoa maelekezo kwa wanaotaka kushirikiana na Chama…asema hakuna chawa wala kunguni Na Mwandishi Wetu,Tanga KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC)Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Issa Gavu ameitaka Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)kuongeza kasi ya kuongeza wanachama wake na kufikia Milioni tisa kutoka wanachama Milioni 6.1 walioko sasa. Mbali na kuongeza wanachama kwa…

Read More

Nyumba za Gachagua zinavyolindwa na wanajeshi wa kujitolea

Nairobi. Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema nyumba zake za Nairobi na Mathira huko Nyeri sasa zinalindwa na askari wa kujitolea, baada ya Serikali ya Rais William Ruto kuondoa walinzi wake. Gachagua amesema askari hao wa kujitolea wanajumuisha wanaume na wanawake waliowahi kuhudumu katika Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), Jeshi la Huduma…

Read More

Watendaji watajwa kukwamisha utendaji Taasisi Ofisi ya Rais

Unguja. Licha ya mafanikio ya Taasisi ya Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini (ZPDB), wapo baadhi ya watendaji wanatajwa kukwamisha utendaji wa taasisi hiyo na kushindwa kutoa ushirikiano. Hayo yameelezwa leo Desemba 16, 2024 Ikulu Zanzibar na Mtendaji Mkuu wa ZPDB, Profesa Mohamed Khalfan alipotoa taarifa kwa Rais Hussein Mwinyi, katika maadhimisho…

Read More