Leverkusen yarejea katika mbio za ubingwa – DW – 16.12.2024

Bayern Munich watamaliza wakiwa kileleni isipokuwa wakitizama nyuma yao wanawaona mabingwa watetezi Bayer Leverkusen. Bayern wanaongoza na pointi 33, nne mbele ya nambari mbili Levekusen na kwa kutegemea jinsi matokeo yatakavyokuwa wikiendi nijayo, huenda pengo hilo likapungua hadi pointi moja. Matokeo ya mwishoni mwa wiki yaliwafaidi Leverkusen. Vinara Bayern walipoteza pointi tatu ikiwa ni kichapo…

Read More

Viongozi Takukuru wakutana Arusha kujadili mbinu za kukabili wanasiasa watoa rushwa uchaguzi mkuu 2025

Na Seif Mangwangi, Arusha VIGOGO wakuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini wamekutana Jijini Arusha lengo mojawapo likiwa ni kuweka mikakati ya kukabiliana na wanasiasa watakaotoa rushwa katika uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akifungua mkutano huo mkuu wa mwaka wa Takukuru, Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango amesema rushwa ni adui mkubwa ambaye…

Read More

Ndumbaro kuunda timu, uchunguzi migogoro ya Ardhi

  SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imeanzisha mpango wa kuunda timu maalum inayokusudia kufanya uchambuzi na uchunguzi wa kina kuhusu migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji nchi nzima. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuanzisha…

Read More

Lwakatare amkimbia Prof. Lipumba CUF

  MBUNGE wa zamani wa Bukoba mjini, Wilfred Lwakatare ambaye ni mgombea nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema kuwa endapo Profesa Ibrahimu Lipumba atadhihirisha nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho atajiondoa kuwania nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online leo tarehe 16 Desemba 2024,…

Read More