
Watatu mbaroni tuhuma za mauaji katibu wa CCM Kilolo
Iringa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo, Christina Nindi (56) aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Taaifa za awali zilieleza tukio hilo lilitokea Novemba 12, 2024 katika Kijiji cha Njiapanda ya Tosa, Wilaya ya Kilolo alipokuwa akiishi baada ya kushambuliwa, kufariki dunia…