Chikola: Miamala ilisoma kisa Yanga

Katika Ligi Kuu Bara msimu huu mpaka sasa huenda ushindi wa mabao 3-1 wa Tabora United mbele ya Yanga katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam ndiyo matokeo ya soka ambayo yamezungumzwa zaidi, kuzua mijadala, hisia tofauti na maamuzi ya kushangaza. Matokeo hayo yasiyo ya kutegemewa wakati yakishusha furaha na shangwe kubwa mkoani Tabora…

Read More

Watu wenye mahitaji maalumu kupewa kipaumbele katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura

Kuelekea zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura, Makamu Mwenyekiti Tume huru ya Taifa ya uchaguzi (INEC) Jaji Mstaafu Mbarouk Mbarouk amesema watu wenye mahitaji maalumu watapewa kipaumbele cha kujiandikisha bila ya kulazimika kusubiri kupanga foleni. Ameyaeleza hayo leo wakati akifungua Mkutano wa Tume na Wadau wa uchaguzi kuhusu uboreshaji wa daftari…

Read More

Simba kuwajibika kung’olewa viti kwa Mkapa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung’olewaji wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana. Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini wa Wizara hiyo, imesema barua hiyo itakayoelekezwa kwa Simba iwanakiri na Shirikisho la…

Read More

Baada ya Lubumbashi, Yanga inaanzia hapa

YANGA imerejea asubuhi ya jana ikitokea Lubumbashi, DR Congo ilikopata pointi moja ya kwanza karika mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku kocha wa timu hiyo na nahodha msaidizi wakitoa msimamo juu ya nafasi ya kutinga robo fainali kwa mara ya pili mfululizo. Yanga iliyopoteza mechi mbili za awali za Kundi A mbele…

Read More

PROGRAMU YA ‘CODE LIKE A GIRL’ YAWAJENGEA UWEZO WA TEHAMA WASICHANA MKOANI DODOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Meneja wa Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania Kanda ya Kati ,Joseph Sayi (kulia) akizungumza na wanafunzi wasichana kutoka Kanda hiyo wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Udom Jijini Dodoma jana kwa ufadhili wa Vodacom. Meneja wa Kampuni ya Vodacom…

Read More