
Mahakama ya Katiba Korea Kusini kuamua hatma ya Rais Yoel – DW – 16.12.2024
Majaji wote sita wa mahakama hiyo wanahudhuria mkutano huo wa kwanza juu ya uamuzi wa bunge wa kumwondoa Rais Yeol ambao ulipitishwa siku ya Jumamosi chini ya uongozi wa vyama vya upinzani. Mahakama hiyo inao muda wa hadi miezi sita kutoa uamuzi wa iwapo Rais Yeol atavuliwa rasmi madaraka yake au kumrejesha mamlakani kuendelea kuliongoza…