
CCM Katavi yajibu kauli ya Arfi
Mpanda. Baada ya aliyewahi kuwa mbunge wa Mpanda Mjini mkoani Katavi, Said Arfi kusema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatumia nguvu kubwa kuua vyama vya upinzani, chama hicho kimepinga kauli hiyo. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Mkoa wa Katavi, Theonas Kinyoto amesema tuhuma hizo si za kweli, bali vyama vya upinzani bado ni vichanga…