
Wenye ulemavu wataka pensheni, ajira na mikopo
Dar es Salaam. Kutolewa kwa pensheni za kila mwezi, afya bure kuanzia ngazi ya msingi, ajira, mikopo na elimu jumuishi ni miongoni mwa vitu vilivyotawala katika ukusanyaji wa maoni rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwa kundi la watu wenye ulemavu. Kutolewa pensheni, kunatajwa kuwa moja ya njia ya kupunguza makali ya maisha…