
Waziri aruhusu kupigwa muziki nyakati za sikukuu Zanzibar
Waziri wa Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ametoa ruhusa ya upigaji wa muziki katika siku nne za Sikukuu ya Krismas sambamba na siku mbili za kusherehekea mwaka mpya huku ikizingatia uthibiti wa sauti ili isiwe kero kwa Jamii. kauli hiyo ameitoa katika ukumbi wa kituo cha Elimu Amali Makunduchi wakati wa…